International office scholarship
University of Bristol inatoa nafasi kwa wanaotaka kusoma Bachelors na postgraduateMwisho wa maombi: 9 June 2017 (annual)
Masomo yatakua inchini: Uingeleza
Muda wa masomo kuanza ni September 2017
Maelezo zaidi
Kwa mwaka huu 2017, chuo kikuu cha Bristol kilichopo inchini uingeleza kinatoa nafasi sita kwa wanafunzi watakaosoma undergraduate na postgraduate
Walengwa
Ni wanafuzi wote kutoka inchi yoyote
Nafasi ya ofa
Nafasi ya masoma ni kwa punguzo la ada
• Nafasi ya kwanza mwanafunzi atapata punguzo la Euro £12,000
•Nafasi ya pili mwanafunzi atapata punguzo la Euro £10,000
• Nafasi ya tatu mwanafunzi atapata punguzo la Euro £8,000
Sifa za Waombaji
- Waombaji wote wa ada lazima wawe ni wageni .
- Waombaji wote wahakikishe wamepata nafasi chuoni kabla ya kuomba ada.
- Waombaji wanaweza kuwa wa masomo yoyote.
- Mwanafuzi aliedhaminiwa na kulipiwa zaidi ya £3,000 haruhusiwi kuomba
Jinsi ya kuomba
kusanya video isiyozidi dakika moja (1) ukielezea jamii inamaana gani kwako au jamii kwako ni nini. video yako itajajiwa vitu tofauti tofauti. video hiyo unakusanya kupitia international-office@bristol.ac.uk. kwa utambuzi zaidi uhisha na namba yako ya maombi/ namba ya UCAS katika sehemu ya email (hizi utazipata wakati wa kuapply). video yako iwe katika format ya mov, .mp4, .m4v, .wmv, .flv
Website:
Sehemu ya maombi ya Scholarship: http://www.bristol.ac.uk/fees-funding/awards/international/
Website ya chuo: http://www.bristol.ac.uk/

No comments:
Post a Comment